FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Kila la kheri chama langu Tout Pouisant Mazembe🖤🖤 🤍🖤🖤 🐊 Daima Mbele Nyuma Mwiko 🤍🤍🤍
 
Kila la kheri chama langu Tout Pouisant Mazembe[emoji1665][emoji1665] 🤍[emoji1665][emoji1665] [emoji246] Daima Mbele Nyuma Mwiko 🤍🤍🤍
Sijui ni kwanini wana Yanga wanaiombea Tp Mazembe ushindi wakati ushindi kea Tp Mazembe itafufua matumaini kwao kushinda dhidi ya Al Hilal
 
Hivi Azam watqionyesha hii game au
Jibu lako hili
IMG_20250110_190118.jpg
 
Sijui ni kwanini wana Yanga wanaiombea Tp Mazembe ushindi wakati ushindi kea Tp Mazembe itafufua matumaini kwao kushinda dhidi ya Al Hilal
Wakishinda itamchelewesha kidogo MC algers ambaye ndiye tishio na ndiye tunakutana naye final match. Mazembe akishinda zote anakuwa na 8 Yanga tukishinda Zote tunakuwa na 10 au hata tukidraw tunakuwa sawa points na TP Mazembe ila tunapita kwa advantage ya ushindi juu yao.
 
Hakuna jambo sahihi kwa Yanga kama ku focus kushinda mechi zote mbili kuliko kuombea fulani afungwe. Tp Mazembe akishinda leo bado sio jambo zuri kwa Yanga maana watakuwa wanafikisha point 5 na mechi ya mwisho ni dhidi ya Ibenge kwenye ardhi ya kwao Congo. Kuna uwezekano Tp Mazembe akashinda tena dhidi ya Al Hilal na kufikisha point 8
Sure
 
All the best majirani zetu, tuwe wazalendo aisee Mazembe ni ndgu zetu kabisa hawa.
 
Hakuna jambo sahihi kwa Yanga kama ku focus kushinda mechi zote mbili kuliko kuombea fulani afungwe. Tp Mazembe akishinda leo bado sio jambo zuri kwa Yanga maana watakuwa wanafikisha point 5 na mechi ya mwisho ni dhidi ya Ibenge kwenye ardhi ya kwao Congo. Kuna uwezekano Tp Mazembe akashinda tena dhidi ya Al Hilal na kufikisha point 8
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom