FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Sijajua Wana Yanga wenzangu wanacho furahia Mazembe kushinda ni kipi? Group halijaa kusaidiwa na mwenzako bali kupambana kushinda mechi zako. Mazembe anayo nafasi ya kufuzu pa
 
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.

MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.

Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.

Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na point 5 huku Mazembe akiwa na point 2 nafasi ya nne.

Matokeo ya leo yataleta athari kubwa kuelekea mchezo wa Al Hilal Vs Yanga hapo jumapili.

Azam Sports 1HD watakuwa live, wale wa kustream pitia hapa www.fawanews.com
Tuko live live
 
Back
Top Bottom