FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.

MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.

Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.

Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na point 5 huku Mazembe akiwa na point 2 nafasi ya nne.

Matokeo ya leo yataleta athari kubwa kuelekea mchezo wa Al Hilal Vs Yanga hapo jumapili.

Azam Sports 1HD watakuwa live, wale wa kustream pitia hapa www.fawanews.com
Mods Active Paw siku nyingine mruhusu watu wachache wenye uelewa kua wanatuandikia live thread.... Sasa huu mtambo umeandika lakini hakuna time to time updates.... Umepost utafikiri taarifa ya Mbowe au Slaa... bora live za @vicenzojr
 
Back
Top Bottom