BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Mkuu solar usiku huu Giza nayo inaweza isichajiBado hamjasema
Mimi nauza kikokotoo cha kutumia solar power achana na hicho cha mabetri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu solar usiku huu Giza nayo inaweza isichajiBado hamjasema
Mimi nauza kikokotoo cha kutumia solar power achana na hicho cha mabetri
Mazembe wamekalia kimojaVipi huko
Ila sisi mioyoni mwetu tunajua Uto ndio kaishia hapoDah! Mazembe wameisha hapo
BadoWameongezewa au!
Sisi hatuna shida nao huko mbele, wafanikishe jambo letu hatua ya makundi tu
Roho mkononi tumia kikokotoo cha CASIO toka japanWameongezewa au!
Hamna ila wanapaniki sana namna hii huwezi shinda mechi kwa mwarabu inatakiwa uwe mtulivu wao wanaingia kwenye mtego dk zinapoteaWameongezewa au!
Wafanyiwe na figisu za kutosha piaHili kundi Yanga anapiga vizuri tu Hawa waarabu wakija kwa mkapa hawatoki hawatoki
Wanasakwa Nini hao maana ukipiga mpira kasi mazembe huwa hawajawahi kutoboaBado
Unatumia calculator gani 🤣Hili kundi Yanga anapiga vizuri tu Hawa waarabu wakija kwa mkapa hawatoki hawatoki
Aposto…kuna muujiza hukuHili kundi Yanga anapiga vizuri tu Hawa waarabu wakija kwa mkapa hawatoki hawatoki
Hawana hata shot on target mpaka sasaWanasakwa Nini hao maana ukipiga mpira kasi mazembe huwa hawajawahi kutoboa
Wakifika tu kwenye anga la TZ shughuli Yao imeisha shika maneno yangu Hawa hawatokiWafanyiwe na figisu za kutosha pia
Kwa mkapa hawatoki kabisa mchawi mechi na HilalHili kundi Yanga anapiga vizuri tu Hawa waarabu wakija kwa mkapa hawatoki hawatoki
Inachajiwa mchana usiku unapeta nayo frssh haswa kampuni ya CASIOMkuu solar usiku huu Giza nayo inaweza isichaji
Tupe hesabu mkuuHili kundi Yanga anapiga vizuri tu Hawa waarabu wakija kwa mkapa hawatoki hawatoki
Ayaya ayaya Nini kimetokea embu mpe maiki yenye sautiAposto…kuna muujiza huku