Vipi hukoWaarabu wanapata pernat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hukoWaarabu wanapata pernat
Utkolo ya kongo imefungwa mojaNgapi ngapi huko?
Utokolo ya kongo imefungwa mojaNgapi huko
Unaangalia game lakini? Leo qameamka balaaHawa mdebwedo
Nacheki game huku na sinzia game kila dakika foul mchezo hauna flow nzuriUnaangalia game lakini? Leo qameamka balaa
www.fawanews.comMwenye link
Bado hamjasemaHawa Mazembe hivi wanajielewa kweli!?
mi naona imekaa vizuriHawa Mazembe hivi wanajielewa kweli!?
Wape kalkuletaHawa Mazembe hivi wanajielewa kweli!?
Dah! Mazembe wameisha hapoMoja Hawa waarabu wamepata penalty beki wa Mazembe Mzembe sana
Calculation zinaanza upyaaaTP win
Al Hilal win
Mechi za mwisho
Yanga win
TP draw
Yanga anafuzu na pointi 7
HawajitambuiDah! Mazembe wameisha hapo
Wameongezewa au!Hawa Mazembe hivi wanajielewa kweli!?
Bila kusahau mdasilWiki hii tumalizane na kelele za hili kundi. Leo mwarabu achukue pwenti 3 zake halafu J2 Ibenge afanye yake tufunge mahesabu ili Aziz Ki na Bacca wawahi Mapinduzi Cup.