FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Zile hamsa hamsa zitajirudia

Hamsa


1675613638753.png
 
Cinque (5 ) kwa kitaliani,Cinq kwa kifaransa, Cinco kwa kihispanola.Na Fem kwa kiswidish na Khamsa kwa kiarabu.Chagua unalopenda.
 
Content ndio uandike neno lenye maana nyingine kabisa.Ulisomea huo ujinga wapi?
 
Leo nimemwona Kyombo akibadilika na kucheza vizuri.

Akiendelea kujifua atafanya vizuri hapo baadae.

Ana faida ya mwili mkubwa urefu na umri
 
Mijitu ya hovyo sana, ushindi dhidi ya Singida Big Stars hakuna aliyemtukana kocha Robertinho wala uongozi zaidi ya kutamba na kukenua meno. Leo kufungwa goli tu la kutanguliwa lawama na matusi chungu nzima ilihali mpira bado unaendelea.

Watu wa hivi hawafai kabisa.

Ushamba tu ndo unawaponza,hawajui soka wamevamia vamia tu
 
Back
Top Bottom