FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Cinque (5 ) kwa kitaliani,Cinq kwa kifaransa, Cinco kwa kihispanola.Na Fem kwa kiswidish na Khamsa kwa kiarabu.Chagua unalopenda.
 
Content ndio uandike neno lenye maana nyingine kabisa.Ulisomea huo ujinga wapi?
 
Leo nimemwona Kyombo akibadilika na kucheza vizuri.

Akiendelea kujifua atafanya vizuri hapo baadae.

Ana faida ya mwili mkubwa urefu na umri
 

Ushamba tu ndo unawaponza,hawajui soka wamevamia vamia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…