FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

Cetshwayo Kampande

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,295
Reaction score
2,973
Game kali Sana,mwarabu bado kidogo apelekewe moto.

Mechi iishe draw,yanga
---
1708712000371.png

1708712031490.png

1708713428935.png

Mchezaji wa Al Ahly El Shahat aisaidia timu yake kushinda bao 1-0 ugenini dhidi ya Mabingwa wa Ghana Madeama baada ya kufunga bao pekee la ushindi katika dakika ya 48 ya mchezo.

Kwa ushindi huu Al Ahly amejihakikishia kufuzu hatua ya makundi kwa kujikita kileleni mwa Kundi lao lililo na Yanga ya Tanzania na CR Belouzidad ya Algeria pamoja na Madeama ya Ghana.

Kesho itakuwa ni Yanga vs CR Belouzidad kunako dimba la Benjamini Mkapa Dar es Salaam, Tanzania.

Nini maoni yako kuhusu kundi hili?
 
Al Ahly wamekoswa koswa sana, hii mechi inaweza kuisha sare au Medeama akashinda. Kundi ni gumu sana hili
 
Back
Top Bottom