Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Admin futa huu uzi, muanzisha uzi ni mbumbumbu hajui hata tofauti/maana ya cuf na CAF. Cetshwayo Kampande
Huna unalolijua kushida kwq Aly Ahly ni faida kwa yanga. Kolokwinyokoo waheeedSafi sana Al Ahl, Uto wana kazi
Kiungwana ungetumia muda huu kueleza faida unazionaHuna unalolijua kushida kwq Aly Ahly ni faida kwa yanga. Kolokwinyokoo waheeed
Wewe na yeye wote ni mbumbu ndio maana huwezi ona hiyo faida. Aly Ahly mpaka hapa ameshafuzu... Mechi inayofuata Hana uzito nayo tofauti na ambavyo asingepata matokeo!!.Kiungwana ungetumia muda huu kueleza faida unaziona
Yanga akipoteza au sare,Vita itakua ngumu kwa timu tatu chini ya ahly,maana wote wataitaka nafasi ya piliHapana hana ugumu...ugumu bado mtakua nao nyie...niamini mimi
Wewe na yeye wote ni mbumbu ndio maana huwezi ona hiyo faida. Aly Ahly mpaka hapa ameshafuzu... Mechi inayofuata Hana uzito nayo tofauti na ambavyo asingepata matokeo!!.
Ameshafuzu tiali!Bado hajafuzu. Bali ana asilimia kubwa ya kufuzu.
Uenda kichwa chako kinatumika kufugia nywele tu kama sio kuvishwa wigi. Mbali na kufuzu, timu inataka kujihakikishia inashika nafasi ya kwanza, regardless matokeo ya kesho, mechi ya mwisho kila timu itabidi ikaze kwa ajili ya kutafuta kuongoza kundi. Kiufupi, tabu bado iko palepaleWewe na yeye wote ni mbumbu ndio maana huwezi ona hiyo faida. Aly Ahly mpaka hapa ameshafuzu... Mechi inayofuata Hana uzito nayo tofauti na ambavyo asingepata matokeo!!.
Hizo hesabu nimekwambia ni za mbumbu wenye akili focus yao ipo kupata ushindi kwanza... Kwahiyo akufunga Gori 1 na akaenda kupata draw misr hafuzu?. Ivory ametokea best looser kanyanyua kwapa Leo nafasi ya pili?.Uenda kichwa chako kinatumika kufugia nywele tu kama sio kuvishwa wigi. Mbali na kufuzu, timu inataka kujihakikishia inashika nafasi ya kwanza, regardless matokeo ya kesho, mechi ya mwisho kila timu itabidi ikaze kwa ajili ya kutafuta kuongoza kundi. Kiufupi, tabu bado iko palepale
Yanga vs Belouizdad ikiisha 0-0. Wanakuwa na point 6 kila mmoja.Ameshafuzu tiali!
Al Ahly atasubiri kesho matokeo ya Yanga na BelouizdadYanga vs Belouizdad ikiisha 0-0. Wanakuwa na point 6 kila mmoja.
Belouizdad akishinda goli nyingi mechi na Medeama anafikisha 9. Head to head na Ahly wako sawa
Yanga akimfunga Ahly mechi ya mwisho Yanga anakuwana 9. Head to head na Ahly Yanga atakuwa amemzidi Ahly H2H
KWA hiyo ipo option ya Ahly kutokufuzu.
Hata page za CAF waliofuzu mpaka sasa ni timu mbili tu. Asec na Petro atletico
Kama nyie mlivyo kula 5?Kinyesi fc akienda misri watamlamba nyingi mjue!
Ila yote kwa yote mpira wa Afrika ni wa kiwango cha chini sana hasa hasa ktk ngazi ya vilabu. Ukiangalia hivi vilabu vya Afrika vinavyocheza na ukilinganisha na Ulaya yaani tofauti ni kama mbingu na nchi.
Hivi vilabu vya kiafrika hakuna hata moja inayoweza kucheza na vile vilabu vya Ulaya, vinaweza kukogeshwa magoli kama mvua.
Wachezaji wa kiafrika hawana kasi, stamina wala hawachezi kimbinu ni kukimbizana tu na mipira kama vichaa. Vilabu vya Afrika vya enzi zile kama Al Ahli, Canon Yaounde, Union Douala, Hafia Fc, Hearts of Oak, Asante, Asec Abidjan, Africa Sport, Asante Kotoko, Ibadan Shooting Stars, Enugu Rangers, AS Vita, TP Mazembe, Zamalek nk vilikuwa na viwango vya hali ya juu sana kimpira ukilinganisha na hivi vilabu vya sasa.
Kivumbi leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani haya matokeo yatawaamsha waarabu wa Algeria kesho hapatatosha...
Hahahaha!! tuoe updates..Yani haya matokeo yatawaamsha waarabu wa Algeria kesho hapatatosha...
Acheni na nyie ushamba wa kufufua mambo yalopita...Hahahaha!! tuoe updates..