Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Na ndio maana tunaiombea staz ipigwe nyingi 😂,tubadirike wabongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana tunaiombea staz ipigwe nyingi 😂,tubadirike wabongo
Kwani Mwijaku na wenzie wanasemaje?Salah safi sana Mwanangu, sina ubaya na Tanzania ila nilipenda salah afunge
YNWA
Wanakusanya michango kwanza 😂Kwani Mwijaku na wenzie wanasemaje?
Steve kama yupo sijui nini kitstokeaWanakusanya michango kwanza 😂
Sema nyie chama cha mafisadiNyie watanzania
Washatutandika zauso🙆🙆
Samatta hastahili ata kua benchiakina samata wana kazi ya kurusha shanga tuh
Kivumbi na jasho!Siku yangu imeenda vzuri sana jao nli tegemea wapigwe 3+