FT: Misri 2-0 Tanzania | Mechi ya Kirafiki | Cairo International Stadium | 07-01-2024

FT: Misri 2-0 Tanzania | Mechi ya Kirafiki | Cairo International Stadium | 07-01-2024

taifa lako
Tanzania ni kinyeo cha fungo, mtu akijua kuzungumza kiswahili tu, basi tayari ni mtanzania.
Usishangae jamaa ni msudani kusini, ila kwakua kiswahili anajua, basi nayeye ni mtanzania.
 
Hii penalt kiukweli wametuonea, hakuna faulu iliyofanyika, beki amecheza mpira!
Upo sahihi , reply imeonyesha hakukuwa na contact yoyote bacca alicheza Mpira mchezaji wa misri akajiangusha Kama kawaida Yao Hata var hakuna.
 
Back
Top Bottom