Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Na ndio maana tunaiombea staz ipigwe nyingi π,tubadirike wabongo
Kwani Mwijaku na wenzie wanasemaje?Salah safi sana Mwanangu, sina ubaya na Tanzania ila nilipenda salah afunge
YNWA
Wanakusanya michango kwanza πKwani Mwijaku na wenzie wanasemaje?
Steve kama yupo sijui nini kitstokeaWanakusanya michango kwanza π
Sema nyie chama cha mafisadiNyie watanzania
Washatutandika zausoππ
Samatta hastahili ata kua benchiakina samata wana kazi ya kurusha shanga tuh
Kivumbi na jasho!Siku yangu imeenda vzuri sana jao nli tegemea wapigwe 3+