Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Morocco leo hawana huruma na sisi,tunaoga nyingi! Sisemi hivi kisiasa bali nasema kwa kuangalia aina ya taifa tunalocheza nalo,ubora wa kikosi chetu na chao,uzoefu katika mashindano haya,ubora wa mchezaji mmoja mmoja na mbaya zaidi tunacheza kwao. Siamini kabisa kama tutapita na kama tutapita nipigwe ban la maisha humu jf.