FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Moroco hawapenyi
Hii dhulma hataiwaacha salama
SIjui watakutanana na timu Gani
Ila kama ni South Africa au Nigeria
Morocco hapiti hakiyanani.
dua mbaya za watanzania wengi ndo ilikuwa obstacle kubwa kwa CCM STARS!
 
Sijui uongozi mbovu wa yanga ulifikiria nini kumfuta kazi kocha mzuri kama huyu! Ingekuwa ni kocha mwingine hata round ya 16 taifa stars wasingegusa pua yao! Ukicheki kikosi ni kilekile cha muda wote tena labda kikosi cha sasa hivi ndo kilikuwa kibovu kuliko! Ila mwamba ametumia mambinu kama yote mpaka akawapeleka hawa ccm stars round ya 16! Yanga ni wajinga mpaka najifikiria mara mbili kuwa shabiki wao!
Mimi Gamondi alivyofukuzwa Yanga
Nikaachana na habari za ushabiki maandazi

Wapumbavu wachache tu wanakaa wanafukuza kocha kwa ujinga wao.
 
mwamba keka lilichanika? Hahahahaha! Sasa wewe unathubutuje kumweka ccm stars kwenye orodha ya keka lako?
😂Uliona odds mjomba ? Nilikua namuua mhindi Jana kumamakeh
..moroko ******* tu ..motsepe ni bilionea ila ni mafi tu anawagwaya sana waarabu haswa moroko...
 
Haikua penalty ile. So soft for a PK. Ukiangalia vizuri alikua on his way down Kabla hata ya kuguswa. Zile chance mbili zilikua wazi mno kukosa, wajilaumu wenyewe.
Sio kwamba mguu haukukaa vizuri kwenye Mpira
 
Haikua penalty ile. So soft for a PK. Ukiangalia vizuri alikua on his way down Kabla hata ya kuguswa. Zile chance mbili zilikua wazi mno kukosa, wajilaumu wenyewe.
Ni kweli huenda Nado alikuwa anataka atengeneze mazingira ya penalt, basi kama muamuzi si angekwenda kuangalia VAR watu wasingefika hapa kulalamika.
 
sheria za mpira zipo pande zote,timu kubwa na ndogo. Ukisema morocco wamestahili kubebwa basi ilikuwa haina haja ya kucheza nao maana kumbe ilikuwa imepangwa tayari nani apite kwenda robo fainali. Ninachojua na nilichokiona jana ni kuwa refa alikuwa upande wa morocco nadhani ni kutokana na kumlinda mwenyeji asitoke mapema na kuna namna huenda alihongwa mapesa.lakini angekuwa amechezesha kwa haki,kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu hata kama tungetoka tungetoka kivingine tofauti na tulivyotoka jana. Maraisi wa mashirikisho walikuwepo alikuwepo rais wa fifa ifantinyo na mwenzake wa caf motsepe yamkini wameona hali halisi ya soka letu.

Sijasema wamestahili kaka, kuhusu kubebwa wote hatujui kwa maana hakuna uthibitisho juu ya hilo

Mimi kusema ukweli ni shabiki wa morocco, naipenda morocco 🇲🇦
 
Eti huna la kuongea ..mnafiki.mkubwa ..sheria Gani pale ilitakiwa kutafsiriwa...nauliza tu pesa mlizomuahidi refa wa mali mmeshamuekea kwenye akaunti yake nyinyi waarabu Koko
So, wewe sio mtu wa mpira, bali umejawa na chuki tu sio!! Kama ni hivyo basi naomba tuishie hapo kaka, kama nimekukera I'm sorry.

Mimi ni shabiki wa Morocco 🇲🇦
 
Mpira Gani walionao hao makuma? Wana mpira Gani ..mpira wa rose muhando ?

Duhh, timu gani kwako ina mpira mzuri kuzidi Morocco!!

World cup 2022
Canada 1-2 Morocco
Belgium 0-2 Morocco
Spain 0-3 Morocco (P)
Croatia 0-0 Morocco

Kwahiyo hapo walibahatisha??

Kwa afrika namba 1
Kwa dunia namba 10
 
Back
Top Bottom