Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Umekua tajiri kwa kushindwa kwaoSina undugu wowote na mtume ni kwamba tu nina agenda dhidi ya taifa starz na viongozi wao. Kushindwa kwao ndio furaha yangu !
Umekua tajiri kwa kushindwa kwaoSina undugu wowote na mtume ni kwamba tu nina agenda dhidi ya taifa starz na viongozi wao. Kushindwa kwao ndio furaha yangu !
Mpira Gani walionao hao makuma? Wana mpira Gani ..mpira wa rose muhando ?Acheni kulalamika, Morocco anajua ball bwanaa
Eti huna la kuongea ..mnafiki.mkubwa ..sheria Gani pale ilitakiwa kutafsiriwa...nauliza tu pesa mlizomuahidi refa wa mali mmeshamuekea kwenye akaunti yake nyinyi waarabu KokoHapo sina la kuongea mkuu, kuna mengi ya kufikiria hapo, ila tusikimbilie tu kusema wamenyimwa haki bila kuzijua sheria
Kocha wa timu ipi Stars au Morocco? Wewe unaonekana mpira hujui hapo uliposema kocha alikua na upendeleo tu ndio nimekugundua wewe ball ni nehinehiKama umeangalia mechi mwanzo mwisho kocha alikuwa na upendeleo hilo lipo wazi.
Umemsikia Traore?
Morocco ni nchiIliwezekanaje kuuwa maelfu ya watu, halafu ikashindikana kuiuwa Morocco jana?
Mtoa amri hakusisitiza au alisalitiwa?
Pata nafasi ya kumsikilizaSijamsikia!
Basi sawaTumeonewa sana na hilo refa
Tanzania hatujatendewa haki kabisa
HahahaIliwezekanaje kuuwa maelfu ya watu, halafu ikashindikana kuiuwa Morocco jana?
Mtoa amri hakusisitiza au alisalitiwa?
WU A U? Uliza au unafanyaje?
And what about u?WU A U? Uliza au unafanyaje?
Muulize WU A U sio mimiAnd what about u?
Nakuuliza wewe uliyeandika. Maduro hayupo.Muulize WU A U sio mimi
WHU A U kapigwa biti kali sana na Wanajeshi wa Marekani anaambiwa hao anaowaona wa maana sio China sio Russia sio North Korea sio Iran na wengine ISIS na Alqaida sio kitu kwa Marekani wakiamua wanatimba tu na kumchukua km kifaranga cha kuku.. ndio nimeanza kuelewa kwanini Marekani nembo yao ni lile lindege likubwa linaitwa Tai
There was no politics kwenye soccerIliwezekanaje kuuwa maelfu ya watu, halafu ikashindikana kuiuwa Morocco jana?
Mtoa amri hakusisitiza au alisalitiwa?
Mwambie yule aliesema WU A UNakuuliza wewe uliyeandika. Maduro hayupo.
Amani dhidi ya haki au sio? Na iwe hivyo ni sawa useme hakuna VAR kwenye Politics.. nimekuelewaThere was no politics kwenye soccer
Vijana Kuweni focused