Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tumeonewa sana leo 🥹Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu 😀😀
Tumeonewa sana leo 🥹Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu 😀😀
Morocco wa kubebwa kweli!!!! Acheni kulalamika, hivi huwa hamchoki dadaMlitaka watetee vipi?
Mbona wamelalamika sana?
Haki gani dadaa, yani hata nyie wa kulalamikia Morocco the big giant in afrika amebebwa, kweli!!! Ingelikua Argentina, spain au ufaransa wamebebwa hapo unaweza ukaamini, sasa kitaifa stars kweli hahaaaa kuweni serious.Tumeonewa sana na hilo refa
Tanzania hatujatendewa haki kabisa
Kumbe sio wewe uliekua unalamikia refa! I'm sorry kakaWap nmelalamika fala ww
Wamebebwa ndioMorocco wa kubebwa kweli!!!! Acheni kulalamika, hivi huwa hamchoki dada
Mna bahati sana, tungewapiga hata 5
Wamebebwa ndioHaki gani dadaa, yani hata nyie wa kulalamikia Morocco the big giant in afrika amebebwa, kweli!!! Ingelikua Argentina, spain au ufaransa wamebebwa hapo unaweza ukaamini, sasa kitaifa stars kweli hahaaaa kuweni serious.
Upendeleo gani?? Kuumiza wachezaji wa Morocco!!! Unadhani zile card zinatolewa tu ilimradi, kubalini tu waarabu wako mbali sana kisoka, hatuwawezi, sio level yetu wale, sisi tudili na ndondo cup yetu.Wamebebwa ndio
Kama umeangalia mechi mwanzo mwisho kocha alikuwa na upendeleo hilo lipo wazi.
Stars wamecheza mpira mzuri sana leo.
Ukiacha hizi blah blah za giant,
Ukweli ni kwamba Morocco wamebebwa na refa.
Natokea CAMEROON. Kosi langu la kiume, linalocheza kiume haswaa, lipo linamtesa Bafana Bafana. Wewe endelea kuwaombolezea wala urojo wa Taifa Stars.Ww unatoa county ipi ? Ww na refa lenu moja
Slums za nairobi zinakuhusuNatokea CAMEROON. Kosi langu la kiume, linalocheza kiume haswaa, lipo linamtesa Bafana Bafana. Wewe endelea kuwaombolezea wala urojo wa Taifa Stars.
Wamebebwa ndio
Hapo sina la kuongea mkuu, kuna mengi ya kufikiria hapo, ila tusikimbilie tu kusema wamenyimwa haki bila kuzijua sheriaTuache hayo tuje kwenye tukio je haikupaswa kuwa penalty ?
Aman hata ikianzaNasimamia Amani kwanza
ExpUnatoa Msuva unaliingiza lisamata
Linafanya nini humo?🚮
Mtu kaletewa cross kichwani yeye na goli kamiss alafu best loser bado tunalalamika.Utasemaje umeonewa na Wala hujafunga hata la kukataliwa
Asante sana pesa zimepina ziende kuhudumia wananchi.
Sina undugu wowote na mtume ni kwamba tu nina agenda dhidi ya taifa starz na viongozi wao. Kushindwa kwao ndio furaha yangu !Hata wewe ni mjukuu wa mtume ?