FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Nimependa sana Tanzania ilivotolewa kwa uvunjifu wa sheria za kimpira..Ili iwe funzo kwa Viongozi wa Tanzania kuwa sheria ni muhimu kufatwa ili haki iwepo kwa raia..
Jambo jingine Wale mliokuwa mnashabikia hii timu ya Tanzania fahamuni kuwa mashindano yamefanyika kwenye uwanja wa nyumbani wa Morocco kama ilivyo CCM na uchaguzi unaongozwa na tume yao..
 
1761501436915.jpg
 
Refa Morocco ndiye aliiua Taifa Stars. Hakuna chochote aliifundisha stars kwa miaka yote alipokuwa nayo.
Naishauri TFF ikiwapendeza waachane na kuchagua makocha watanzania kuwa wakufunzi wa Taifa stars.
Na huyu kocha Morocco afungiwe maisha
 
Hii ya Leo ni zaidi ya uhuni . Maarass refa ni bonge la aibu
 
W
Wachezaji hata kumpa presha refa aende kwenye VAR hamna. Ni kapombe na idd nado tu ndo wameonesha kutaka refa aende kwa VAR. Afu Samatta anaangalia tu.
Kmmk
Wangekuwa waarabu kwanza kabisa wangeweka mpira kwapani hakuna kuruhusu mpira kuendelea huku wakimsongaspnga refa. Bado timu yetu au wachezaji wetu wana mapungufu kwenye kudai haki yao. Nadhani hii wamerithi maana wabongo kudai haki yao huwa ni kipengere hatupo aggressive. Huwa tunamwachia tu Mungu atende lake jambo.😀😀
 
Na hivyo ndivyo mama yenu alipita Ile October 🤣 pole lakini dada.
Tumeonewa sana 😭😭
Mimi Morocco siwapendi
Yaani nimejisikia uchungu hadi nalia machozi
Yaani huyu Refa

Michazaji nayo mpumbavu sana
Imeacha kumtwanga ngumi
Yapo yananyoshanyosha tu mikono,nitu senge toka mwanzo mnalinyoshea tu mikono badala ya kupiga wakati tumeahatoka.
 
Haki kwanza ama amani? Wachezaji wa tanzania wamekubali kudhulumiwa haki yao ndio amani ya mchezo imepatikana na umekwisha. Kipi kingetakiwa kuanza haki ama amani?
 
Back
Top Bottom