REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Samia angalau alizunguka kufanya kampeniNa hivyo ndivyo mama yenu alipita Ile October 🤣 pole lakini dada.
We nawe unaloliongea sio kweli wachezaji mpk benchi la ufundi wamefatilia ile penaltyWachezaji hata kumpa presha refa aende kwenye VAR hamna. Ni kapombe na idd nado tu ndo wameonesha kutaka refa aende kwa VAR. Afu Samatta anaangalia tu.
Kmmk
Bora amani, amani kwanza haki baadae wewe binti😂Nimetamani nimtandike ngumi
Nikakumbuka kumbe nipo kwenye TV
Akiyanani huyu mshenzi kaniboa
Marefa weusi wakishachezesha mechi ya mweusi na Mwarabu lazima wambebe Mwarabu kwasababu ya Infiriority complex...same hata kwenye clubsSamia angalau alizunguka kufanya kampeni
Hilo takataka usililinganishe na Mama yetu
Hili ni lijambazi
Tulirudi nchini tulipe uhaini hili jitu jeusii
Fei mzembeHii mechi ingekuwa mbili moja, Chance ya Feisal na Msuva ,zile zote kamba.Yaani leo Morroco wamecheza hovyo, sema hata kipa wetu nae alishindwa kubana angle vizuri sijui alikuwa anafikiria nini.
Wapigwe kumi bila nitafurahi sana, ni timu la samuya na wapumbavu wenzake
Q
Marefa weusi wakishachezesha mechi ya mweusi na Mwarabu lazima wambebe Mwarabu kwasababu ya Infiriority complex...same hata kwenye clubs
Nasimamia Amani kwanzaHaki kwanza ama amani? Wachezaji wa tanzania wamekubali kudhulumiwa haki yao ndio amani ya mchezo imepatikana na umekwisha. Kipi kingetakiwa kuanza haki ama amani?
Tuache hayo tuje kwenye tukio je haikupaswa kuwa penalty ?Baadhi yenu hamkosagi visababu, refa akiwa mwarabu ni kosa, mweusi pia ni kosa. Basi bora waletwe maalbino labda hamtaongea tena.
Mbona zikikutana tz na timu ya weusi huwa ham complain kama ilivyo kwa waarabu, acheni chuki bwana kila siku kuonewa!!
DuhSamia angalau alizunguka kufanya kampeni
Hilo takataka usililinganishe na Mama yetu
Hili ni lijambazi
Tulirudi nchini tulipe uhaini hili jitu jeusii
mbuzi kafia kwa muuza supu 😁Jamani ngapi ngapi huko?????????? sina matokeo
Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu 😀😀Tumeonewa sana 😭😭
Mimi Morocco siwapendi
Yaani nimejisikia uchungu hadi nalia machozi
Yaani huyu Refa
Michazaji nayo mpumbavu sana
Imeacha kumtwanga ngumi
Yapo yananyoshanyosha tu mikono,nitu senge toka mwanzo mnalinyoshea tu mikono badala ya kupiga wakati tumeahatoka.
Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu 😀😀