Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Unatoa Msuva unaliingiza lisamata
Linafanya nini humo?đźš®
Linafanya nini humo?đźš®
Amekula pesa ya mwana mfalme.Ameshapokea kititaHuyu refa mjinga
Anawapendelea Morocco
Tukifungwa refarii pia atakuwa amechangia
Upendeleo wa wazi waziHuyu refa mjinga
Anawapendelea Morocco
Tukifungwa refarii pia atakuwa amechangia
Kwa lishe mbovu tunayokula Watanzania unatarajia tuwe na nguvu?Kwani hawa watz huwa wanacheza wapi? Nguvu hamna kabisa
Mpunguze malalamiko, uwezo wétu bado ni Tia Maji Tia Maji.Upendeleo wa wazi wazi
Yaani umepita kimazabe zabe kupitia play off halafu utarajie kuifunga Morocco?Aki Venye inakuuma vile hamjapita
Umeona hiyo imetokea mbele yake na amekausha?Mpunguze malalamiko, uwezo wétu bado ni Tia Maji Tia Maji.
Mzungu gani mkuu?Huyu Mzungu ni bora kuliko Kibu Denis?
Yule Mzanzibar aliharibu sana hii timu alipokabidhiwa kuifundisha.Mpunguze malalamiko, uwezo wétu bado ni Tia Maji Tia Maji.
Kikoo wapiiii. ???? Wachezaji wenyewe vimeoMchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco katika hatua ya 16 Bora ya AFCON 2025 unapigwa leo Januari 4, 2026, katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat, Morocco. Huu ni mchezo wa kihistoria kwa Taifa Stars ambao kwa mara ya kwanza wamefanikiwa kufika hatua ya mtoano katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.
Morocco, wakiwa wenyeji wa mashindano, wanaingia wakiwa na rekodi bora baada ya kuongoza kundi lao bila kupoteza, hali inayowafanya kupewa nafasi kubwa ya kusonga mbele mbele ya mashabiki wao wa nyumbani.
Kwa upande wa Tanzania, timu inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na ari kubwa na matumaini ya kuandika historia mpya licha ya presha kubwa inayowakabili. Taifa Stars wameonyesha uimara wa kiulinzi na nidhamu ya hali ya juu katika hatua ya makundi, wakiongozwa na wachezaji wazoefu akiwemo Mbwana Samatta na Simon Msuva.
Morocco, chini ya kocha Walid Regragui, wanategemea ubora wa wachezaji wao wakubwa kama Achraf Hakimi na Hakim Ziyech, huku wakionya kuwa hawataidharau Tanzania. Mshindi wa mchezo huu atakata tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya AFCON 2025.
Kila la heri Taifa Stars
Vikosi VINAVYOANZA
Tanzania
View attachment 3525215
Morocco
View attachment 3525225
Sahihi kabisa wako karibu na mtume hata huyo Prince Moulay El Hassan ambaye huu uwanja umepewa jina lake ni descendant wa mtume Muhammed kupitia mjukuu wake Hassan bin Ali.Mungu wasiadie wenzetu Morocco washinde hii game. Morocco wapo karibu sana na ndugu wa Mtume.