Upite kwenda wapi? Wapori pori washapigwa huko.Hii tunapita
Idd Nado hii game haimfai aisee, inataja watu wanaokimbia sana, Idd Nado ana control ila speed ni tatizoAu Iddi Nado
Anaharibu mpira kwa upendeleoMwamuzi kum*yako🖕
Walilivimbisha kichwa mechi ya Nigeria na lenyewe kweli likajiona bonge la beki, kumbe mshamba mmoja mla urojo.Huyi Bacca ajiangalie.
🤣🤣🤣🤣Huyu refa mjinga
Anawapendelea Morocco
Tukifungwa refarii pia atakuwa amechangia
Kwani unataka kwenda wapi wewe na team mbovu hiyoHuyu Mzungu ni bora kuliko Kibu Denis?
Exactly, hata katika ClubsMakocha sijui wana siri gani zinapocheza timu za watu weupe na weusi. Ni kama wanakuwa na mtizamo kuwa watu weusi always wrong
Aki Venye inakuuma vile hamjapitaUpite kwenda wapi? Wapori pori washapigwa huko.