Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Kwan gamondi amegombana na kapombeMnoga hamna kitu
Kwan gamondi amegombana na kapombeMnoga hamna kitu
Hata PSG anachezaga hivyohivyo huyo..ni Beki ila mda mwingi yuko mbele kama Roberto CarlosHuyu Hakimi ni defender ila muda wote yupo mbele kudadeki.
Ili mkojoe woteMorroco mbona.wanatuchelewesha
Moroco anafungwa leo msitutaniee😁!Napinga
Rangi nyeupe inapewa kipaumbele kwenye kila kitu. Na kocha awe smart kuwatoa wachezaji wenye yellow card, vinginevyo red itatuhusuTumejitahidi aise.
Halafu zile dk 7 za nini mbona boli halikusinama?
Kapombe haiwezi hii mechi, mpira ni wa kasi na yeye umri umeshaenda hatoweza kuhimiliKwan gamondi amegombana na kapombe
Halaf kwenye hizo dk saba zikaongezwa nyengine 3Tumejitahidi aise.
Halafu zile dk 7 za nini mbona boli halikusinama?
Jambo lolote akisimamia huyu nyamitako lazima liharibikeMwambieni Bashite, Morocco pekee wanayoweza kuifunga ni ile ya Magomeni.
Kila la heri kwa Morocco
Hatari refa kakaa kimkakatiHalaf kwenye hizo dk saba zikaongezwa nyengine 3