Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Mpira upo neutral.Mungu Ibariki Tanzania
Mpira upo neutral.Mungu Ibariki Tanzania
Waarabu vurugu nyingiiHafu awa wapumbavu uwanja wao hana runway ya riadha. Mashabiki wapo jirani kinoma
Waarabu vurugu nyingiiHafu awa wapumbavu uwanja wao hana runway ya riadha. Mashabiki wapo jirani kinoma
Umepigwa na nani? Futa mpigwe na cha pili , p2 mlikumbuka kumeza lakin?Tumepigwa cha Kwanza
Ata ungekua ww ungevaa jezi ukangia? 😆😆😆Sio kwa fitina hii 😁.Naangaloa hapa yani uwanja mzima hata mtanzania mmoja siwaoni au mimi ndio naona.
Kwa sasa wanatafakari maduro sio taifa starAta ungekua ww ungevaa jezi ukangia? 😆😆😆
Wewe ajuza upo !!!!Samia must go2026 Tanzania ina kila sababu ya kuishinda Morocco.
Tanzania tunaweza kupindua meza hapaMpira upo neutral.
Menda kudondosha kabati au sioTanzania tunaweza kupindua meza hapa
Yaan wakijidanganya waende mbele wameishaHatuwezi kupiga pasi hata mbili
Swala la muda tu subiriMorroco mbona.wanatuchelewesha
Mungu Ibariki TanganyikaMungu Ibariki Tanzania
Kwahiyo watasogezasogeza hadi penalty?Yaan wakijidanganya waende mbele wameisha