Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 895
- 2,499
Morocco wakishindwa tutakula michamboo 😅😅Daah Moroco kuweni serious jamani tunawategemea
Morocco wakishindwa tutakula michamboo 😅😅Daah Moroco kuweni serious jamani tunawategemea
Mfungwe tu nkamu 😹😹Huyu refa mjinga
Anawapendelea Morocco
Tukifungwa refarii pia atakuwa amechangia
Samia, wakati yeye ndio kaharibu timu na Mzanzibure mwenzake Hemed Morocco.Tanzania kw mara ya kwanza nawaona wnacheza mpira wa hali ya juu.
Hongera mama Samia.
PumbafuTanzania kw mara ya kwanza nawaona wnacheza mpira wa hali ya juu.
Hongera mama Samia.
Oya Nyangwisi unatakwa utukanwe au ?