FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Ningekuwepo uwanjani hili shetani ningekuwa nishalikata mtama
Mshenzi sana

Hawa Taifa stars
Wanashindwa kulipiga hilo kenge?
 
Tff wa file complaints fifa au CAF, huyu refa ni hujuma kabisa za wazi
 
Back
Top Bottom