FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Katika strategy ambazo huwa sizielewi za mchezo wa mpira wa miguu ni kupaki gari wakati hawana hata goli na kipindi cha kwanza. Ni bora tu ufunguke tu kama ni kufungwa ufungwe mapema upambane kurudisha.

Pia wachezaji wanakuwa hawana ili spirit ya kufanya tight marking (hawakabi seriously) na kuintercept mipira kwa haraka wanakuwa wanasindikiza sana wachezaji wa timu pinzani.
 
Wachezaji hata kumpa presha refa aende kwenye VAR hamna. Ni kapombe na idd nado tu ndo wameonesha kutaka refa aende kwa VAR. Afu Samatta anaangalia tu.
Kmmk
 
Ingekuwa Waarabu timu nzima na benchi la ufundi lingemfuata refa
 
Mtu mweusi hana sifa za kuwa Referee kwenye mechi kubwa 🤣
 
Safi sana. Team Morocco 🇲🇦🇲🇦🇲🇦
 
Wachezaji hata kumpa presha refa aende kwenye VAR hamna. Ni kapombe na idd nado tu ndo wameonesha kutaka refa aende kwa VAR. Afu Samatta anaangalia tu.
Kmmk
Natumai ulikuwa unaangalia mpira kwa kutumia TV ya chogo. Mbona wachezaji wpte na benchi la ufundi walienda kumshinikiza au hujaona jamaa yangu?
 
Pumbavu sana refa
Mwamnyeto akashindwa kulinasa hili ngumu
Wangelitandika walitoe hata jicho pumbavu sana hilo takataka
 
Bongo bwana, naona wamejiegesha kwenye penati. Yaani nyinyi mlikaa mkisubiri kuitoa Morocco. Maza faka
 
Katika strategy ambazo huwa sizielewi za mchezo wa mpira wa miguu ni kupaki gari wakati hawana hata goli na kipindi cha kwanza. Ni bora tu ufunguke tu kama ni kufungwa ufungwe mapema upambane kurudisha.

Pia wachezaji wanakuwa hawana ili spirit ya kufanya tight marking (hawakabi seriously) na kuintercept mipira kwa haraka wanakuwa wanasindikiza sana wachezaji wa timu pinzani.
Yule mnonga anacheza wapi mbona kichwa kina RAM ya 1MB uwezo wa kuanticipate maamuzi ya mpinzani ni zero, marking ya kusindikiza, Gamondi anajitahidi ila mzito kwenye sub sijui anakwama wapi
 
Back
Top Bottom