Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Nimwabieje?Mwambie yule aliesema WU A U
Nimwabieje?Mwambie yule aliesema WU A U
Mwambie yale majibu ya WU A U?yameshatoka aende akawasikie walichomjibu au msogezee video hii hapaNimwabieje?
Ni kweli mpira sijuiKocha wa timu ipi Stars au Morocco? Wewe unaonekana mpira hujui hapo uliposema kocha alikua na upendeleo tu ndio nimekugundua wewe ball ni nehinehi
Ila Morocco nao watatolewa tuBasi sawa
Watu wanasema hatuwadai Taifa starsMsuva na Fei toto wamekosa clear chances wajilaumu wenyewe.
Pole sana kwa kuumiaIla Morocco nao watatolewa tu
Ni suala la muda tu
Labda kama watapangiwa refarii huyuhuyu
😂😂😂😂Pole sana kwa kuumia
Nimeumia sana kufungwa kamoja tu ,nilitaka wafungwe hata 5 pia wakifika somalia watekwe na maharamia wakisomali😂😂😂😂
Nyie watanzania wenzetu kwani hamjaumia timu yetu kuonewa?
Hapo ni sawa useme CCM nao watashindwa tu labda wajipangie wasimamizi wa uchaguzi hawahawa wakina Mkurugenzi Rama Kailima na Mwenyekiti Jacob Mwambegele..Ila Morocco nao watatolewa tu
Ni suala la muda tu
Labda kama watapangiwa refarii huyuhuyu
Moroco hawapenyiHapo ni sawa useme CCM nao watashindwa tu labda wajipangie wasimamizi wa uchaguzi hawahawa wakina Mkurugenzi Rama Kailima na Mwenyekiti Jacob Mwambegele..
AiseeNimeumia sana kufungwa kamoja tu ,nilitaka wafungwe hata 5 pia wakifika somalia watekwe na maharamia wakisomali
Mwenye roho mbaya ni yule aliua ndugu zangu na rafiki zangu wa tatu Ile October na miili hatukuiona , hao wengine wafe tu na watoto wao gademittAisee
Watu mna roho mbaya sana
Taifa lenu hamlipendi kiasi hicho?
Sasa hivi Taifa tumekuwa kitu kimoja..wote tunadai haki.
Sasa inahusiana vipi na Taifa stars🥹Mwenye roho mbaya ni yule aliua ndugu zangu na rafiki zangu wa tatu Ile October na miili hatukuiona , hao wengine wafe tu na watoto wao gademitt
Sasa inahusiana vipi na Taifa stars
Usilete taharuki mkuu. Tulinde amani yetuMpira Gani walionao hao makuma? Wana mpira Gani ..mpira wa rose muhando ?
Watu wanasema hatuwadai Taifa stars
Ila kiukweli Msuva na Feisal tunawadai.
Yale magoli wangepata huenda hata hiyo penati waliyonyimwa wasingeililia sana.
sheria za mpira zipo pande zote,timu kubwa na ndogo. Ukisema morocco wamestahili kubebwa basi ilikuwa haina haja ya kucheza nao maana kumbe ilikuwa imepangwa tayari nani apite kwenda robo fainali. Ninachojua na nilichokiona jana ni kuwa refa alikuwa upande wa morocco nadhani ni kutokana na kumlinda mwenyeji asitoke mapema na kuna namna huenda alihongwa mapesa.lakini angekuwa amechezesha kwa haki,kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu hata kama tungetoka tungetoka kivingine tofauti na tulivyotoka jana. Maraisi wa mashirikisho walikuwepo alikuwepo rais wa fifa ifantinyo na mwenzake wa caf motsepe yamkini wameona hali halisi ya soka letu.Haki gani dadaa, yani hata nyie wa kulalamikia Morocco the big giant in afrika amebebwa, kweli!!! Ingelikua Argentina, spain au ufaransa wamebebwa hapo unaweza ukaamini, sasa kitaifa stars kweli hahaaaa kuweni serious.
anakutana na cameroonMoroco hawapenyi
Hii dhulma hataiwaacha salama
SIjui watakutanana na timu Gani
Ila kama ni South Africa au Nigeria
Morocco hapiti hakiyanani.
ko unawadai akina msuva eti? Nenda ukawakabe sasa ili wakulipe deni lako wanaondokaje na deni alaa!Watu wanasema hatuwadai Taifa stars
Ila kiukweli Msuva na Feisal tunawadai.
Yale magoli wangepata huenda hata hiyo penati waliyonyimwa wasingeililia sana.