FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Morocco leo hawana huruma na sisi,tunaoga nyingi! Sisemi hivi kisiasa bali nasema kwa kuangalia aina ya taifa tunalocheza nalo,ubora wa kikosi chetu na chao,uzoefu katika mashindano haya,ubora wa mchezaji mmoja mmoja na mbaya zaidi tunacheza kwao. Siamini kabisa kama tutapita na kama tutapita nipigwe ban la maisha humu jf.
 
Hakuna haja ya kuiombea stars ishinde,, Mungu anaipenda zaidi Morocco.
 
Leo tunashinda nakuelekea robo fainali, wasioitakia mema nchi yetu watatafuta pakuweka sura zao.
 
Kila la heri Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ gonga hizo kenge๐ŸŠ zirudi zilikotoka ziache kuchezea hela za walipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ