Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Mbona mna mfrastrate kocha Babu wa watu? Unataka afanyaje?
Huo ni UongoKuna kitu nimeki observe kwenye uwanja.
Naona wachezaji wanateleza sana
Tukipoteza hii game ni balaa saaWorkrate ya wachezaji ipo chini sana ni kama timu ya netball imefosiwa wacheze football
Sema UONGORobertinho hafiki Nyerere Day
Tulia mambo ndo kwanza yameanza.Robertinho hafiki Nyerere Day
Si huyo salum wao...waliamua kumpa jina la mdaka mishaleDiara ama
KAZIDI WAZI WAZI KABISA