Nilijua huu msemo utakuja.Bahasha zinatembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua huu msemo utakuja.Bahasha zinatembea
Na nyie si mnadai zile offside zenuBado mnadai penati sio
Kabisa huyu jamaa anacheza style ya kisasa kabisa..Ila Fabrice anatuliza mpira vizuri sana aisee..hana papara na pass zake zinaonekana...
Hata hizo nyasi ni majani ya mpunga yaliyokatwa kwa vipimoUwanja wamewagia maji mengi makusudi kumbuka hapo ni shambani.Angalia kwa mbali kuna mashine inamwagilia miwa.
Kumbe na mm najua mtu anaecheza vzr...asante kwa kuona na ww piaKabisa huyu jamaa anacheza style ya kisasa kabisa..
Hiyohiyo inawatoa ulimi yangaIhefu hii ambayo mwaka huu inashuka daraja?mpaka sasa hivi ipo kwenye mstari wa chini kabisa kwenye msimamo
Asipochezeshwa fitness ataipata kwa kukaa benchi?Wakati mwingine mumuelewe kocha, Phiri kagusa mpira mmoja nao kapoteza dakika zote 20.
Sasa bila kumpa hata dkk45 atapata wapi hyo fitnessWakati mwingine mumuelewe kocha, Phiri kagusa mpira mmoja nao kapoteza dakika zote 20.
Hawataki kuwapa wachezaji wao exposureHoja za timu za 'sizitaki mbichi hizi' kama vile Kitoyose, Utopolo, JKT, ...
Haupati Fitness kwa Kucheza mechi, Fitness unaipata mazoezini mkuu.....Asipochezeshwa fitness ataipata kwa kukaa benchi?