FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Simba hii ikikutana na timu kama Singida BS au Mashujaa FC ,ukiachilia mbali Yanga watapata tabu sana.
Mashujaa anawakalisha hao subiri waone labda wakimbilie penati na yule kipa wao wa kutoka nje ya mstari kabla penati haujapigwa anawaibia waamuzi
 
Haupati Fitness kwa Kucheza mechi, Fitness unaipata mazoezini mkuu.....
Mechi ni Display ya ulichokifanya mazoezini.
Watu wang'ang'anizi sana. Yaani upatie fitness kwenye mechi ya kutafuta ushindi? Kama hafanyi vizuri mazoezini, acha aanzie benchi au asicheze kabisa. Kocha ndiye anakuwa na wachezaji muda mwingi, tumpe uhuru wa kuchagua kikosi
 
Back
Top Bottom