FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Kipa wa Makolo mwizi uwanjani anawaibia waamuzi anatoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa jizi
Ni ujanja wa mjini, ulitaka awe kama Diara ambaye badala ya kwenda mbele, anaenda kushoto tena kwa kufuata chaki 🤣🤣🤣
 
Mechi ya kwanza tu tayari mmesharuhusu goli 2. Tena kwa timu dhaifu ya Mtibwa.

Ni suala la muda tu. Mtafarakana
 
Kwahiyo hiyo picha ndio inaonesha nini? Mbona umekuja kujivua nguo hiyo picha si inaonesha Chama yuko mbele kuliko wachezaji wote
Wewe kwa macho yako unaona kati ya Chama na huyo beki jezi namba 5 nani yuko karibu zaidi na goli?

Pia hii angle sawa na ile ya Mzize tu, ni ngumu sana kuwa na uhakika wa 100%. Azam wanakosea kutokuwa na camera usawa karibu na goli kwa ajili ya kuhakiki matukio kama haya ya offside ila afadhali kidogo ya Mzize unaweza kuhoji, ila hii ya Chama hapana. Hii siyo offside.
 
Wewe kwa macho yako unaona kati ya Chama na huyo beki jezi namba 5 nani yuko karibu zaidi na goli.

Pia hii angle sawa na ile ya Mzize tu, ni ngumu sana kuwa na uhakika wa 100%. Azam wanakosea kutokuwa na camera usawa karibu na goli kwa ajili ya kuhakiki matukio kama haya ya offside ila afadhali kidogo ya Mzize unaweza kuhoji, ila hii ya Chama hapana. Hii siyo offside.
Dah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabango
 
Contrary to other days, leo wenzetu wamekuwa wapole kama vile hawajacheza na kupata ushindi 'mnono'. Mitandaoni kumetulia sana

Ni ukomavu au mawazo?
 
Dah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabango
Camera za Azam ndio zinazoleta huu utata.
 
Bora wewe uliyesema camera za Azam, kuliko huyo anayeleta picha ilichokuliwa kwa angle ambayo inaonesha Chama yupo offside
 
Dah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabango
Ungekuwa unajua masuala ya perspective ungejua huyo beki ndiyo mtu wa mwisho kwenye hiyo picha. Badala ya kuchora "imaginary line" wewe unaenda kuangalia mabango
 
Matarajio ya kambi ya Uturuki yamekuwa tofauti na kinachoendelea…!!! Quality ya mpira katikati ya uwanja haiendani na matarajio ya wengi
 
Mimi nina furaha timu yangu inazidi kuimarika na rotation ya wachezaji inafanyika.

2-4 ni ushindi mzuri, timu itakaa sawa kadri ya mechi zinavyoendelea, washabiki wasioujua mpira ndiyo wapumbavu wanaolalamikia kocha.

Simba Nguvu moja[emoji881][emoji881][emoji123]
 
Ungekuwa unajua masuala ya perspective ungejua huyo beki ndiyo mtu wa mwisho kwenye hiyo picha. Badala ya kuchora "imaginary line" wewe unaenda kuangalia mabango
Chora wewe imaginary line uweke hapa
 
Chora wewe imaginary line uweke hapa
Tumia macho yako ukizingatia angle ya uwanja ulivyokaa au muulize mtu anayejua kuchora aliye na ufahamu na mambo ya perspective atakwambia. Nilichora ya Mzize maana ilikuwa close sana ila hii wala siwezi kujisumbua. Muhimu zaidi ni kwa AZAM kuongeza camera ingawa nazo mtu akiamua kubisha hata hizo angle nzuri bado mtabisha kama mlivyobisha goli la Singida au lile la Moloko.
 
Mimi nina furaha timu yangu inazidi kuimarika na rotation ya wachezaji inafanyika.

2-4 ni ushindi mzuri, timu itakaa sawa kadri ya mechi zinavyoendelea, washabiki wasioujua mpira ndiyo wapumbavu wanaolalamikia kocha.

Simba Nguvu moja[emoji881][emoji881][emoji123]
Rotation which rotation unayozungumzia maana asilimia kubwa wachezaji ni wale wale tu.......
 
Back
Top Bottom