Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe matokeo au bado upo kwenye Coma.Hii ngoma mtibwa anadroo au anampasua mtu.
Simba watashinda mechi hii ila mashabiki wako hawatakuwa na furaha.
Goli la Chama dhahiri Shahiri ni offside. Picha hiyo hapo juu inatosha kudhihirisha hiloHili goli SIYO offside. Najua kesho wacha-mbuzi wataliongelea sana siku nzima. Watumieni hii picha.
View attachment 2720202
Si mlimtaka jamani?Moses Phili aondoke tu. Anapewà dakika 20, Anagusa mpira mara moja tu.
Na huo mmoja nao anaupoteza.
Mechi ya mwisho kapoteza penati yeye na kipa futi 12.
Sasa ingekuwa penati ya kushinda tungefanyeje?
Moses Phili aondoke hana umakini na ushindi wa timu.
Mechi ya kwanza tu tayari mmesharuhusu goli 2. Tena kwa timu dhaifu ya Mtibwa.
Ni suala la muda tu. Mtafarakana
Kuruhusu goli 2 kwa Mtibwa ni jambo baya. Ilibidi tuwafunge 4-0 au walau 4-1 kama tulivyowafunga Yanga
Kama jicho lako linakwambia hivyo sawaaa. Nadhani hata huyu dada ni mrefu kuliko huo mnaraGoli la Chama dhahiri Shahiri ni offside. Picha hiyo hapo juu inatosha kudhihirisha hilo
Asante, huwa tukikosa huku, tunafidia kule. Kesho au jioni nitakuletea fidia uionePole sana utavuta sigara tu
ameingia dakika ya 78 au siku hizi mpira unachezwa dakika110Moses Phili aondoke tu. Anapewà dakika 20, Anagusa mpira mara moja tu.
Na huo mmoja nao anaupoteza.
Mechi ya mwisho kapoteza penati yeye na kipa futi 12.
Sasa ingekuwa penati ya kushinda tungefanyeje?
Moses Phili aondoke hana umakini na ushindi wa timu.
Moses Phili aondoke tu. Anapewà dakika 20, Anagusa mpira mara moja tu.
Na huo mmoja nao anaupoteza.
Mechi ya mwisho kapoteza penati yeye na kipa futi 12.
Sasa ingekuwa penati ya kushinda tungefanyeje?
Moses Phili aondoke hana umakini na ushindi wa timu.
Ni iliyokuwa HOME SHOPING CENTRE!! baada ya utawala uliokuwa unawabeba kumaliza ngwe yake na HSC ikaishia hapo na kubadilika kuwa GSM!!Bingwa wa kutoa bahasha ni yule mkwepa kodi namba moja Tanzania HSC