FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

So nikifanya mazoezi ya ngumi bila pambano lolote la ngumu nakuwa fiti kupigana dah
Ndio ukifanya mazoezi unakuwa fit kupigana ila husipofanya mazoezi halafu uende kwenye pambano utapigwa kama ngoma.
 
Ila wabongo nyoko sana! Asipofanya sab shida, ooh kocha afanyi sab, akifanya bado shida, ooh kocha anafanya sub nyingi.... duuh sjui mnataka nn
Shida ni nini mwamba?
Mbona umeandika kama nimelalamika?

Hapana, nimetoa maoni tu...

Usichukulie mambo -
 
Watu wang'ang'anizi sana. Yaani upatie fitness kwenye mechi ya kutafuta ushindi? Kama hafanyi vizuri mazoezini, acha aanzie benchi au asicheze kabisa. Kocha ndiye anakuwa na wachezaji muda mwingi, tumpe uhuru wa kuchagua kikosi
Sahihi kabisa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Header ya Kanoute kwa Baleke..Haeder ya Baleke kwa Ngouma..Header ya Ngouma nyavuni...ukinuna toa huo mwiko ulioukalia hapo nyuma
Hili watu hawataliongelea ila kwa wenzetu ni bonge la goli maana zimepigwa pasi mbili za vichwa na mfungaji naye kamalizia kwa kichwa
 
TFF mwaka huu waandae 40' container la malalamiko toka ile club yenye hazina kubwa sana ya mazuzu.
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Hili goli SIYO offside. Najua kesho wacha-mbuzi wataliongelea sana siku nzima. Watumieni hii picha.

Screen Shot 2023-08-17 at 7.29.27 PM.png
 
Back
Top Bottom