FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Ajabu kapigwa punda wa Manungu lakini anayepiga mayowe kwa sauti kubwa ni punda wa Jangwani.
Maskini punda wa Manungu kakubali mijeledi na anamshangaa punda wa Jangwani anayepiga mayowe.
 
Moses Phili aondoke tu. Anapewà dakika 20, Anagusa mpira mara moja tu.
Na huo mmoja nao anaupoteza.

Mechi ya mwisho kapoteza penati yeye na kipa futi 12.
Sasa ingekuwa penati ya kushinda tungefanyeje?

Moses Phili aondoke hana umakini na ushindi wa timu.
 
Si mlimtaka jamani?
Hizo ndio athari za kuwekwa bench. Hata unapoingia hujiamini.
 
Goli la Chama dhahiri Shahiri ni offside. Picha hiyo hapo juu inatosha kudhihirisha hilo
Kama jicho lako linakwambia hivyo sawaaa. Nadhani hata huyu dada ni mrefu kuliko huo mnara

 
Reactions: Tui
ameingia dakika ya 78 au siku hizi mpira unachezwa dakika110
 
pamoja na ushindi timu Bado inatafuta chemistry baada ya mechi nne miili ya wachezaji itakuwa imefunguka, goli la kwanza ni kosa la beki mkamerun lakini goli la pili ni kosa la Shabalala na amekuwa akifanya haya makosa muda mrefu. Onyango alikuwa mwepesi kuzuia makosa ya Shabalala ila Hawa walinzi wapya Bado hawajua madhaifu yake lakini kipa angekuwa makini angezuia Kwa kuziba goli na kutompa nafasi mfungaji.
 
Ile penalty aliyofunga na Singida umeisahau? Mswahili anatafuta tu makosa yako basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…