Mbona kama unapanic na coments zangu jomba? Si ufurahie ushindi unahangaika na mimi vipi kijana?.inamaana huna furaha na ushindi wako mpk uhangaike na comments zangu...tulia kunywa soda shushia na bagia..Kwani kipindi cha pili sio sehemu ya mchezo.. hivi ukiwa kolo unakuwaje?
Kwani kwenye zile 5 aka kono la nyani za 5 November kipindi kipi tuliwafunga goli nyingi? Tena bora Namungo kajitatahidi kufunga goli moja na kufungwa tatu kipindi cha pili,wewe ulikula chuma 4 kipindi cha pili.Ingekua wapo kina nani wenu wale kipindi cha kwanza tuu walishafunga hawa namungo ndo wanawatesa mpk mfunge kipindi cha pili jamani 😂 😂 😂
Karibu beeeerrMbona kama unapanic na coments zangu jomba? Si ufurahie ushindi unahangaika na mimi vipi kijana?.inamaana huna furaha na ushindi wako mpk uhangaike na comments zangu...tulia kunywa soda shushia na bagia..
Na ww shtuka umekua limbukeni hupendezi tena...hivi tano ndo wa kwanza kufunga?.Kwani kwenye zile 5 aka kono la nyani za 5 November kipindi kipi tuliwafunga goli nyingi? Tena bora Namungo kajitatahidi kufunga goli moja na kufungwa tatu kipindi cha pili,wewe ulikula chuma 4 kipindi cha pili.
Tuma kwa EMS...Karibu beeeerr
PoaTuma kwa EMS...
Limbukeni kwa kuwa ulikula chuma tano? Relax,mpira pasi.Na ww shtuka umekua limbukeni hupendezi tena...hivi tano ndo wa kwanza kufunga?.
Hongera mtani, dua yangu imefanya Kazi.Kufungwa afungwe Namungo lakini kuumia waumie Makolo. lol
Refa maliza mpira wengine tunanyonyesha. [emoji23][emoji23]
Siku yenu imeenda poa kabisaKufungwa afungwe Namungo lakini kuumia waumie Makolo. lol
Refa maliza mpira wengine tunanyonyesha. [emoji23][emoji23]
Timu ya my wifeUmebeti ww
Hahahaa. Sawa jiraniHongera mtani, dua yangu imefanya Kazi.
Sisi hata hutushtui kazi kwako ww kutunza hiko kibwagizo cha goli tano...Limbukeni kwa kuwa ulikula chuma tano? Relax,mpira pasi.
Tulia aachie watu wabalance shobo...Wee Metacha kaza tako usilete masikhara asee
Cc@Smart911
Kabisa Mkuu. Tunazidi kujiimarisha vyema.Siku yenu imeenda poa kabisa