FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Kwani kipindi cha pili sio sehemu ya mchezo.. hivi ukiwa kolo unakuwaje?
Mbona kama unapanic na coments zangu jomba? Si ufurahie ushindi unahangaika na mimi vipi kijana?.inamaana huna furaha na ushindi wako mpk uhangaike na comments zangu...tulia kunywa soda shushia na bagia..
 
Ingekua wapo kina nani wenu wale kipindi cha kwanza tuu walishafunga hawa namungo ndo wanawatesa mpk mfunge kipindi cha pili jamani 😂 😂 😂
Kwani kwenye zile 5 aka kono la nyani za 5 November kipindi kipi tuliwafunga goli nyingi? Tena bora Namungo kajitatahidi kufunga goli moja na kufungwa tatu kipindi cha pili,wewe ulikula chuma 4 kipindi cha pili.
 
Mbona kama unapanic na coments zangu jomba? Si ufurahie ushindi unahangaika na mimi vipi kijana?.inamaana huna furaha na ushindi wako mpk uhangaike na comments zangu...tulia kunywa soda shushia na bagia..
Karibu beeeerr
 
Kwani kwenye zile 5 aka kono la nyani za 5 November kipindi kipi tuliwafunga goli nyingi? Tena bora Namungo kajitatahidi kufunga goli moja na kufungwa tatu kipindi cha pili,wewe ulikula chuma 4 kipindi cha pili.
Na ww shtuka umekua limbukeni hupendezi tena...hivi tano ndo wa kwanza kufunga?.
 
Dk 88 namungo wanakosa goal kupitia kwa kelvin kibailo
 
Back
Top Bottom