Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mbona kama unapanic na coments zangu jomba? Si ufurahie ushindi unahangaika na mimi vipi kijana?.inamaana huna furaha na ushindi wako mpk uhangaike na comments zangu...tulia kunywa soda shushia na bagia..Kwani kipindi cha pili sio sehemu ya mchezo.. hivi ukiwa kolo unakuwaje?