FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Huyu manzi huwa anafosi mpira lakini hajui..,ushabiki umemzidi.
WW unaejua mpira unacheza namba ngapi? Au kocha wa timu gani..njoo tuu direct sema unakereka na hoja zangu...kama hutaki kero acha kusoma comments zangu..kuna watu wa yanga nataniana nao kwa mapana na marefu..
 
Hamna wasiwasi kwa sababu refa ni wenu.

Ila nikuambie ukweli Namungo sio Mtibwa sugar 😂😂

Mtaondoka na refa wenu mkamdai mshiko mliompa 😂😂🐸

Mkuu yanga ya sasa si ile ya bakuli ,timu yeyote ikija kichwa kichwa inagongwa 5 hamna hamna 4 au 3.
 
WW unaejua mpira unacheza namba ngapi? Au kocha wa timu gani..njoo tuu direct sema unakereka na hoja zangu...kama hutaki kero acha kusoma comments zangu..kuna watu wa yanga nataniana nao kwa mapana na marefu..
Sawa.
 
Hehe huo ubingwa mliukosa kwa misimu minne mfululizo hivyo kwa misimu hii mitatu ni Zamu yenu kutamba tunaelewa [emoji3][emoji3]
Wakati huo mm nilikua sijaanza kushabikia. Nachojua mm toka nimeamza kushabikia yanga hatujakoaa ubingwa. Don't stuck to the past
 
Mshirika alisema MO atalipwa hisa na hasara zake zote.
Achukue timu kwa B.200.
Naendelea kuongea naye.

Dunia ya leo, watu wanatafuta pa kutumia pesa zao.
Na sio kulialia.
 
Back
Top Bottom