FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Hii yanga kama man ciry
๐Ÿธ๐Ÿธbhana mnawezaje kujifananisha na hiyo miamba ilhali hamna hata fellows 10k kwenye channels ya whatsapp?

Hamna uwanja, hamna ndege, hamna hela, halafu unajifananisha na man city kisa mmemfunga mkulima wa korosho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ
 

Attachments

  • Screenshot_20240308-203602.png
    108.7 KB · Views: 1
Wazee wenye mahaba na Simba kuliko mahaba yenyewe yalivyo endeleeni kumobserve mnyama...

Hahahahaha Mechi ya Mnyama ni Kama kuangalia Ze Comedy Show ,Watu Baki au Cheka tu maana ukisikiliza Spika Ahmed Ally na kilichotekea yaani full Vichekesho.

Mechi za Yanga sisi huwa tunajua matokeo kwahiyo hata tusipoangalia tunajua kwamba lazima mtu ale 5 hamna hamna 4 au 3.
 
Hahaha hahaha vichekesho vyako kingkong tunabonyeza wapi?.
 
Basi chukueni kombe la WhatsApp channel.
Hongereni
 
Basi chukueni kombe la WhatsApp channel.
Hongereni
๐Ÿธ๐ŸธEndeleeni kujifananisha na hiyo miamba ya soka la ukweli, ulivyo fyatu unadhani team kuwa na channel whatsapp ni upuuzi, hivi kuwa huko timu zote (toa ๐Ÿธ๐Ÿธ) nguli duniani zinapimana ubavu huko whatsapp channels?

Mamelodi wapo huko, Al ahaly wapo huko, mnyama yupo huko ila๐Ÿธ๐Ÿธmpo Mbagara na kibaigwa mnatesa NBCPL ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ