FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Ni mawazo ya [emoji196][emoji196] wa jangwani haya.

Endeleeni kuhangaika kama kuku wanaotaka kutaga yai.
Utakuja kuniunga mkono siku moja.

Wenzetu wanashinda sisi tunaishia kusimangwa tu
.
"Nimewanunua napata hasara, anasajiriwa Freddy"

Na kesho tunafungwa na Coaster Unioni.
 
[emoji196][emoji196]bhana mnawezaje kujifananisha na hiyo miamba ilhali hamna hata fellows 10k kwenye channels ya whatsapp?

Hamna uwanja, hamna ndege, hamna hela, halafu unajifananisha na man city kisa mmemfunga mkulima wa korosho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
Ona hii kima kwa hio followers ndio wanacheza!
 
Utakuja kuniunga mkono siku moja.

Wenzetu wanashinda sisi tunaishia kusimangwa tu
.
"Nimewanunua napata hasara, anasajiriwa Freddy"

Na kesho tunafungwa na Coaster Unioni.
Hamia kwa 🐸 panakufaa huko, Simba ina wenyewe bwashee waachie Simba yao.
 
Back
Top Bottom