Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Umeanzisha uzi kisha unautelekeza gizani,hapa ama wewe simba ama ni ccm mkongwe!Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
Inawezekanaje ununue kwa hela na itoe Bure? Kuna kitu hakiwekwi waziSIngida imekuwa inatoa wachezaji wake bure kwenda Simba; naona sasa hivi wana hali mbaya
View attachment 3535316,
tena kama uyo conte anaonekana ni mjuaji sn mpenda sifa mwenye lawama kwa wengne wkt hamna ktu.Bala Conte na Asenki hawana quality ya kucheza Yanga
Kuna wabongo wengi wanawazidi quality
Mchezaji wa kigeni lazima awe quality ya juu kuliko mzawa kitu ambacho sikioni kwao