FT: NBC PL | Young African SC 3 - 1 Dodoma jiji FC | 27.01.2026 | KMC complex

FT: NBC PL | Young African SC 3 - 1 Dodoma jiji FC | 27.01.2026 | KMC complex

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
 

Attachments

  • FB_IMG_17694951367314624.jpg
    FB_IMG_17694951367314624.jpg
    115.7 KB · Views: 38
  • 1769526240158.jpg
    1769526240158.jpg
    423.9 KB · Views: 39
Mmmh

Okelo
Depu
Pacome
Max
Duke
Dube
KWAMBA USIPIGWE WIKI wuu a yuuu? gayiziiii.
 
Muda wa mechi ufike tuwaonyeshe Al_Ahly kuwa na sisi tuna vibonde wetu huku.
 
Huu ugonjwa wa kutotumia nafasi umekuwa sugu kwa Yanga na Simba
 
Bala Conte na Asenki hawana quality ya kucheza Yanga
Kuna wabongo wengi wanawazidi quality
Mchezaji wa kigeni lazima awe quality ya juu kuliko mzawa kitu ambacho sikioni kwao
 
Watanzania safi sana. Mwendo wa kuachana na mapira umefika pazuri
 
Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
Umeanzisha uzi kisha unautelekeza gizani,hapa ama wewe simba ama ni ccm mkongwe!
 
SIngida imekuwa inatoa wachezaji wake bure kwenda Simba; naona sasa hivi wana hali mbaya

1769546966160.png
,
 
Bala Conte na Asenki hawana quality ya kucheza Yanga
Kuna wabongo wengi wanawazidi quality
Mchezaji wa kigeni lazima awe quality ya juu kuliko mzawa kitu ambacho sikioni kwao
tena kama uyo conte anaonekana ni mjuaji sn mpenda sifa mwenye lawama kwa wengne wkt hamna ktu.
 
Back
Top Bottom