[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga un beaten ....
Yanga inafadhiliwa na Gsm
Yangs mabingwa watetezi
Yanga klabu kubwa Afrika
Yanga inacheza mpira wa kisasa
Yanga hii bora kuliko zooote.
Yanga hii ina pesa nyiiingi.
Yanga hii inaongozwa na Enginear
Yanga hii ina jezi bora duniani
Yanga hii ina kocha bora ni profesa
Yanga hii inaheshimisha nchi
Yanga hii ni bora kuliko walio bora
Yanga hii ni hatariii
Yanga hii ni motooo
Yanga hii ndio mpira wa Tanzania
Yanga hii ina msemaji bora duniani
Yanga hii ni bingwa kabla ya mashindano
Yanga hii inafunga killa aina ya goli
Yanga Yanga Yanga timu bora
Tunajadili mechi ya Yanga kama uzi unavyosema. Au mwenzetu unajadili kipi? Kwa vile una interest na matokeo tumia busara kunyamaza
Mimi uzuri wangu sina kuumia kwa ajili ya vitu vya kipuuzi kama hivi yani najua kabisa ni mbeleko wala siumiii nyie endeleeni kubebwa.Mwaka mwingine tena huu wa kusikilizia maumivu.
Tume bakiza lakini kesho tunachukua Bilioni moja na milioni mia Nne.Hiki ndio mlicho bakiza
Bebwa na wewe kama unawaonea wivu mabingwa wako wa NBC PL 2021/22 [emoji38]Haya bwana wazee wa kubebwaaaaa mpoooo
Mayele alinyimwa zaidi ya magoli manne yote mwaka jana lakini Makolokolo bado wanajizima data [emoji16]Marefa nao binadamu kaka.
Hii incident si Kama ile ya Meddie kagere kukatwa na Yondani nje ya box na Jonesya Rukya anaweka penalty.
Leo imekua favor kwa Yanga ndio maana unaongea haya, Next time itakua favored kwako na hutaongea.
Mwaka jana Mayele alinyimwa goli la 17 dhidi ya mtibwa na akakosa kiatu.
Pia tulinyimwa goli na Mbeya city tukakosa pointi tatu.
Najua unaumia sana mzee ila mpira ndio ulivyo.
Nyie mlofika kimataifa mmeishi wapi??Basi chukueni ubingwa wa mwaka wa pili mfululizo.
Ila mnaona Simba akichukua Ubingwa na anaingia robo fainali Afrika.
Nyi mnaishia hapa hapa, sababu ya kubebwa.
Mmechukua ubingwa mwaka jana mmefika wapi kimaifa ?
Huyu Mwamba unamjua lakini???Nilikuwa nyuma ya goli pembeni kidogo. Ile haikuwa penati
Pole sana mkuu huenda haujui ama unafanya kusudi.Tume bakiza lakini kesho tunachukua Bilioni moja na milioni mia Nne.
Pesa Ya CAF.
Wanawake ndio hao jana wamechukua Bilioni Moja ya CAF.
Nyie chukueni hizo milioni mia tano kwa mwaka.
Za faulo penati za Tozo.
Hizi quality zenu mbona hamzitumii mkikutana na Al hilal?Yanga huwa unafanya come back na kupinduwa matokeo.
Simba ilitutangulia kwa moja bila second half tukaja na come. 2-1
Ni uwezo tu na quality.
Hizi quality zenu mbona hamzitumii mkikutana na Al hilal?
Wana kumbukumbu nzuri sana ya msimu uliopita. Kwa sasa wako busy kuiombea Yanga ifungwe! Hawajui hii unbeaten itakuwepo kwa misimu mingi sana.
Tunavuna pesa.Nyie mlofika kimataifa mmeishi wapi??
Eti Robo fainali Afrika[emoji1787] amka kumekuchaaaa
Ukome kiherehereAibu aibu aibuu
Unbite. Inalindwa kwa gharama zozote