FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Yanga un beaten ....
Yanga inafadhiliwa na Gsm
Yangs mabingwa watetezi
Yanga klabu kubwa Afrika
Yanga inacheza mpira wa kisasa
Yanga hii bora kuliko zooote.
Yanga hii ina pesa nyiiingi.
Yanga hii inaongozwa na Enginear
Yanga hii ina jezi bora duniani
Yanga hii ina kocha bora ni profesa
Yanga hii inaheshimisha nchi
Yanga hii ni bora kuliko walio bora
Yanga hii ni hatariii
Yanga hii ni motooo
Yanga hii ndio mpira wa Tanzania
Yanga hii ina msemaji bora duniani
Yanga hii ni bingwa kabla ya mashindano
Yanga hii inafunga killa aina ya goli
Yanga Yanga Yanga timu bora
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • IMG-20221029-WA0011.jpg
    IMG-20221029-WA0011.jpg
    69.5 KB · Views: 4
Aibu aibu aibuu
Unbite. Inalindwa kwa gharama zozote
 

Attachments

  • 6E008E5D-00DE-403B-B9E6-C3162FB2E9B6.jpeg
    6E008E5D-00DE-403B-B9E6-C3162FB2E9B6.jpeg
    77.9 KB · Views: 5
Kila wakati matukio kama haya yanatokea ..
Hatua ndogo ndogo huchukuliwa kwa nini marefa wasione hamna shida..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Inatafutwa kila namna ionekane the Best.
 
Marefa nao binadamu kaka.

Hii incident si Kama ile ya Meddie kagere kukatwa na Yondani nje ya box na Jonesya Rukya anaweka penalty.

Leo imekua favor kwa Yanga ndio maana unaongea haya, Next time itakua favored kwako na hutaongea.

Mwaka jana Mayele alinyimwa goli la 17 dhidi ya mtibwa na akakosa kiatu.

Pia tulinyimwa goli na Mbeya city tukakosa pointi tatu.

Najua unaumia sana mzee ila mpira ndio ulivyo.
Mayele alinyimwa zaidi ya magoli manne yote mwaka jana lakini Makolokolo bado wanajizima data [emoji16]
 
Basi chukueni ubingwa wa mwaka wa pili mfululizo.
Ila mnaona Simba akichukua Ubingwa na anaingia robo fainali Afrika.

Nyi mnaishia hapa hapa, sababu ya kubebwa.

Mmechukua ubingwa mwaka jana mmefika wapi kimaifa ?
Nyie mlofika kimataifa mmeishi wapi??

Eti Robo fainali Afrika[emoji1787] amka kumekuchaaaa
 
Penalty ya mchongoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tume bakiza lakini kesho tunachukua Bilioni moja na milioni mia Nne.
Pesa Ya CAF.

Wanawake ndio hao jana wamechukua Bilioni Moja ya CAF.

Nyie chukueni hizo milioni mia tano kwa mwaka.

Za faulo penati za Tozo.
Pole sana mkuu huenda haujui ama unafanya kusudi.

Anyways!! Ngoja tukupe darasa.

Kwenye football tunajivunia vikombe na wala sio fedha.

Ndio maana timu zina rekodi ya kuchukua makombe na wala sio rekodi ya kupata hela.

Shabiki wa mpira kama rafiki Yangu njaakalihatari anajivunia vikombe na wala sio hela[emoji28].

Beba vikombe vya CAF na wewe tukuite mkubwa..[emoji28] ila sio hela.
 
Yanga huwa unafanya come back na kupinduwa matokeo.

Simba ilitutangulia kwa moja bila second half tukaja na come. 2-1

Ni uwezo tu na quality.
Hizi quality zenu mbona hamzitumii mkikutana na Al hilal?
 
Nyie mlofika kimataifa mmeishi wapi??

Eti Robo fainali Afrika[emoji1787] amka kumekuchaaaa
Tunavuna pesa.
Wewe lini ulipata Bilioni moja na nusu za mpirani ?

Unaishia na hivyo vi milioni tano vya ligi tu basi.
 
Back
Top Bottom