FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Mwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa

Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
Mayele mpira haujamkutaa kabisaa tofauti na Kwa makambo
 
Marefa nao binadamu kaka.

Hii incident si Kama ile ya Meddie kagere kukatwa na Yondani nje ya box na Jonesya Rukya anaweka penalty.

Leo imekua favor kwa Yanga ndio maana unaongea haya, Next time itakua favored kwako na hutaongea.

Mwaka jana Mayele alinyimwa goli la 17 dhidi ya mtibwa na akakosa kiatu.

Pia tulinyimwa goli na Mbeya city tukakosa pointi tatu.

Najua unaumia sana mzee ila mpira ndio ulivyo.
Mngelijua hili msingekuwa mnawatisha kwenye zile press zenu na kushinikiza mashabiki waandamane kwa Samia
 
Nishasema hawa ni unbeaten wa mchongo. Mechi kibao za kupata vipigo huwa wanaokolewa na maamuzi mabovu kutoka Kwa waamuzi wa mchongo.
 
Yanga mbakie na unbitten yenu.
Kwa hao marefa wenu hamta wahi kufungwa.
Marefa na ma lains men hawataki habari ya kufungwa yanga.

Yaani faulo ya katikati ya uwanja inakuwa Penati.

Kimataifa mtapigwa hadi mkome.
 
Kumbe Yanga wameshinda leo.
Ni ushindi wa juhudi za wachezaji.

Kwakweli wachezaji wanajituma sana na hadi wamefanikisha ushindi wa leo.
 
Kumbe Yanga wameshinda leo.
Ni ushindi wa juhudi za wachezaji.

Kwakweli wachezaji wanajituma sana na hadi wamefanikisha ushindi wa leo.
 
Kumbe Yanga wameshinda leo.
Ni ushindi wa juhudi za wachezaji.

Kwakweli wachezaji wanajituma sana na hadi wamefanikisha ushindi wa leo.
 
Back
Top Bottom