black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Makambooo[emoji1751]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Yanga na goal sio halali. Ila makosa ya referee yaheshimiwe, tumeshanyimwa magoli kwa ajili yao pia kumbuka. So hakuna goal kurudi hapaMimi ni Yanga ila hili gori ni la uonezi kabisa yaani hata sijashangilia.
Kama kweli sio la halali basi GG lazima warudishe Riziki ya mtu haiibiwi
Umezaliwa lini? Usikute janaHii ni aibu ya Taifa. Refa na ma lains men wote wanaishabikia timu pendwa.
Toka nizaliwe sijawahi kuona faulo inageuka penati.
Waajisahau sana hawaMashabiki wa simba acheni kulia lia! Msisahau mechi ijayo mnacheza na Mtibwa ambayo iko moto kweli kweli! Badala ya kutafakari shida zenu, mko busy kuiombea Yanga njaa!
Hahaha makolo wanaiwaza Club Africain kuliko hata sisi, na ile lazima tupige kama ngoma ili tuwaache midomo wazi.Mashabiki wa simba acheni kulia lia! Msisahau mechi ijayo mnacheza na Mtibwa ambayo iko moto kweli kweli! Badala ya kutafakari shida zenu, mko busy kuiombea Yanga njaa!
Marefarii wetu ni shida sanaHii ni aibu ya Taifa. Refa na ma lains men wote wanaishabikia timu pendwa.
Toka nizaliwe sijawahi kuona faulo inageuka penati.
Wana kumbukumbu nzuri sana ya msimu uliopita. Kwa sasa wako busy kuiombea Yanga ifungwe! Hawajui hii unbeaten itakuwepo kwa misimu mingi sana.Mikia wanalia lia utafikiri wao ndio wamefungwa na Yanga, nyie Simba acheni ufirauni
Sare uchi uchi
Wanailemaza team yao bila kujua, ikifika sehemu ambako faulo haiwezi kugeuka kuwa penalty basi wanaangukia pua.Hii ni aibu ya Taifa. Refa na ma lains men wote wanaishabikia timu pendwa.
Toka nizaliwe sijawahi kuona faulo inageuka penati.
Sawa mkuu haina shidaHakuna Yanga mjinga kama wewe, haki iko mbinguni.
Chukuwa glasi ya maji kunywa, kesho mna shughuri si ya kitoto, kila mtu ashinde mechi zake.Upuuzi
Upuuuzi mtupuuuuuChukuwa glasi ya maji kunywa, kesho mna shughuri si ya kitoto, kila mtu ashinde mechi zake.