Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Kabisa yamefanana Sana [emoji2]Nikama lile alilofunga Mkude dhidi ya Prison.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yamefanana Sana [emoji2]Nikama lile alilofunga Mkude dhidi ya Prison.
Unbeaten upupuMliokuwa mnatafuta mchawi kwanini Yanha haifanyi vizuri kimataifa nadhani majibu mmeyapata
Muulize mwalimu wako kwanini hajawapanga hao wakutingisha maziwaUnamuwaza sana mwarabu
Mpira umeshikwa tena kwa kukusudiwa ila ilikuwa nje ya kumi na nane. Haikuwa penati.Mazingira ya penati umeyaona lakini au unaongea tu kwasababu ya ushabiki?
Ok sawaKwani hayo mazingira mbona yanaruhusu kabisa penati au Mimi ndo sioni [emoji28][emoji1787]
Alimfunga 8 sasa ndo na wewe Uto utamfunga 8?Wewe ni Tp mazembe?
Acha kufanya comparison za kipumbavu
Mazembe alimfunga uyo 8 kipindi anachukua club bingwa wewe una club bingwa?
Kwa kukusudiwa?Mpira umeshikwa tena kwa kukusudiwa ila ilikuwa nje ya kumi na nane. Haikuwa penati.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ligi inaharibiwa na marefa wa utopolo
Hakuna Yanga mjinga kama wewe, haki iko mbinguni.Mimi ni Yanga ila hili gori ni la uonezi kabisa yaani hata sijashangilia.
Kama kweli sio la halali basi GG lazima warudishe Riziki ya mtu haiibiwi
Na kutolewa round ya kwanza ya CAFCLMakosa haya haya ndio yaliyotufikisha mpaka kwenye hii unbeaten