FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Ni kweli haikuwa penati lakini tukizungumzia tukio hili la kubebwa tusisahau pia yale magoli halali hasa ya mayele yaliyokataliwa huko nyuma
Dhambi haipimwi kwa dhambi nyenzake boss
 
Waamuzi wetu sijui upepo hawana wakuendana na kasi ya mpira.
 
Mashabiki wa simba acheni kulia lia! Msisahau mechi ijayo mnacheza na Mtibwa ambayo iko moto kweli kweli! Badala ya kutafakari shida zenu, mko busy kuiombea Yanga njaa!
 
Yanga kubebwa ni kawaida yao.

Kuna mechi mpira ulitoka nje, wakaurudisha na kufunga goli na Refa akalikubali.
 
MAPUMZIKO
45' Morrison anaipatia Yanga bao kwa penati
GOOOOOOOOOOOOOOOO!!
Picha za marudio zinaonesha mpira ulimgonga mkononi beki wa Geita akiwa nje ya eneo 18
43' Yanga wanapata penati
40' Timu zinashambuliana kwa zamu
29' Mchezo umetawaliwa na faulo za hapa na pale
27' Yanga wanafanya shambulizi lakini hakuna mtu wa kumalizia mpira uliopita mbele ya lango
21' Kasi imepungua kwa kiasi fulani
19’ Saido anachezewa faulo, inakuwa adhabu kuelekea lango la Yanga
10' Mchezo unakasi lakini Yanga ndio wanamiliki mpira muda mwingi
8' Shambulizi lingine kali langoni mwa Geita
6' Yanga wanafanya shambulizi kali, Fei Toto anapiga shuti linapanguliwa na kipa
4' Mchezo umeanza kwa kasi ndogo
Mchezo umeanza hapa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.


=========

Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club.
.
Karibuni Wakuu.
Inaonyesha wewe🦁
 
Maamuzi gani haya, mtu ameshika nje ya mstari wa box ila inatengwa penati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221027-220044~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mmejisahaulisha goli la mkude dhidi ya prison,makolo mkae kwa kutulia ubingwa ndio mmeshaukosa
 
Back
Top Bottom