FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Huyu Mayele ndio walimuweka sub kwa ajili ya mechi ya tarehe 2?
 
Haya makosa ya kibinadamu huwa ni kwa timu ndogo tu
 
Mwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa

Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
Bila shaka una enjoy ball mkubwa.
 
Kipa wa Geita ameonesha ubora wa hali ya juu sana
 
Huyu mchezaji wa Geita kwa hii faulo alipaswa ahukumiwe kwa kadi
 
77

Aziz Ki na Moloko wameingia

Huku Feisal na Morrison wakitoka
 
Yap, kutoka kwa refa
Marefa nao binadamu kaka.

Hii incident si Kama ile ya Meddie kagere kukatwa na Yondani nje ya box na Jonesya Rukya anaweka penalty.

Leo imekua favor kwa Yanga ndio maana unaongea haya, Next time itakua favored kwako na hutaongea.

Mwaka jana Mayele alinyimwa goli la 17 dhidi ya mtibwa na akakosa kiatu.

Pia tulinyimwa goli na Mbeya city tukakosa pointi tatu.

Najua unaumia sana mzee ila mpira ndio ulivyo.
 
Hivi wangekuwa ndio Geita wangepata ile Penati ?
Ya nje ya Box ?
 
Back
Top Bottom