Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TuliaaHaya semeni na hiyo wana Yanga kuwa hamjabebwa
Unamuwaza sana mwarabuYanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.
Pole jikaze japo unaumiaYanga wananufaika na maamuzi ya ovyo ya mwamuzi.
Ndio goli haliwezi kubatilishwa hakuna namna Yanga anaongoza.Yanga wananufaika na maamuzi ya ovyo ya mwamuzi.
Maumivu yakizido kunywa maji mengiMliokuwa mnatafuta mchawi kwanini Yanha haifanyi vizuri kimataifa nadhani majibu mmeyapata
Makosa haya haya ndio yaliyotufikisha mpaka kwenye hii unbeatenYanga wananufaika na maamuzi ya ovyo ya mwamuzi.